Kukua Zaidi ya Ramadhani!
Jifunze zaidi
Ingia
Mipangilio
Tarjuma
Soma
052
surah
Tarjuma ya
Ali Muhsin Al-Barwani
(Badilisha)
Taarifa ya Sura
Cheza Sauti
52:1
وَٱلطُّورِ
١
Naapa kwa mlima wa T'ur,
52:2
وَكِتَٰبٖ
مَّسۡطُورٖ
٢
Na Kitabu kilicho andikwa
52:3
فِي
رَقّٖ
مَّنشُورٖ
٣
Katika ngozi iliyo kunjuliwa,
52:4
وَٱلۡبَيۡتِ
ٱلۡمَعۡمُورِ
٤
Na kwa Nyumba iliyo jengwa,
Notes placeholders
close