Yasyn 36:37 واية لهم الليل نسلخ منه النهار فاذا هم مظلمون ٣٧
Ukurasa 442 · Juzuu 23
وَءَايَةٞ
لَّهُمُ
ٱلَّيۡلُ
نَسۡلَخُ
مِنۡهُ
ٱلنَّهَارَ
فَإِذَا
هُم
مُّظۡلِمُونَ
٣٧
Na usiku ni Ishara kwao. Tunauvua humo mchana, mara wao wanakuwa gizani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na alama kwao yenye kuonyesha upwekeshaji wa Mwenyezi Mungu na ukamilifu wa uweza Wake ni huu usiku ambao kutoka humo unatolewa mchana, wakitahamaki watu wameingiliwa na giza.
Na alama kwao yenye kuonyesha upwekeshaji wa Mwenyezi Mungu na ukamilifu wa uweza Wake ni huu usiku ambao kutoka humo unatolewa mchana, wakitahamaki w…