Az-Zukhruf 43:12 والذي خلق الازواج كلها وجعل لكم من الفلك والانعام ما تركبون ١٢
Ukurasa 490 · Juzuu 25
وَٱلَّذِي
خَلَقَ
ٱلۡأَزۡوَٰجَ
كُلَّهَا
وَجَعَلَ
لَكُم
مِّنَ
ٱلۡفُلۡكِ
وَٱلۡأَنۡعَٰمِ
مَا
تَرۡكَبُونَ
١٢
Na ambaye ndiye aliye umba katika kila kitu jike na dume, na akakufanyieni marikebu na wanyama mnao wapanda. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Aliyeumba aina zote za wanyama na mimea, na Akawawekea majahazi mnayoyapanda baharini, na Akawaumbia wale mnaowapanda barani miongoni mwa wanyama, kama vile ngamia, farasi, nyumbu na punda.
Na Aliyeumba aina zote za wanyama na mimea, na Akawawekea majahazi mnayoyapanda baharini, na Akawaumbia wale mnaowapanda barani miongoni mwa wanyama, …