Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ash-Shuaraa 26:54

26:54
ان هاولاء لشرذمة قليلون ٥٤
إِنَّ هَـٰٓؤُلَآءِ لَشِرْذِمَةٌۭ قَلِيلُونَ ٥٤
إِنَّﳂ
هَٰٓؤُلَآءِﳃ
لَشِرۡذِمَةٞﳄ
قَلِيلُونَﳅ
٥٤ﳆ
(Wakieneza): Hakika hawa ni kikundi kidogo. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Fir’awn akasema, «Kwa kweli, Wana wa Isrāīl waliokimbia pamoja na Mūsā ni pote twevu lenye idadi ndogo.