Ash-Shuaraa 26:219 وتقلبك في الساجدين ٢١٩
Ukurasa 376 · Juzuu 19
وَتَقَلُّبَكَ
فِي
ٱلسَّٰجِدِينَ
٢١٩
Na mageuko yako kati ya wanao sujudu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Anaona vile unavyogeuka, pamoja na wenye kumsujudia katika Swala zao wakiwa na wewe, ukiwa katika hali ya kusimama, kurukuu na kusujudu na kuketi.