Ash-Shuaraa 26:176 كذب اصحاب الايكة المرسلين ١٧٦
Ukurasa 374 · Juzuu 19
كَذَّبَ
أَصۡحَٰبُ
لۡـَٔيۡكَةِ
ٱلۡمُرۡسَلِينَ
١٧٦
Watu wa Machakani waliwakanusha Mitume. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Walimkanusha watu wa nchi yenye miti iliyoshikana Mtume wao Shu’ayb kuhusu utume wake, na kwa hivyo waliukua wamekanusha jumbe zote za Mitume.