Ash-Shuaraa 26:169 رب نجني واهلي مما يعملون ١٦٩
Ukurasa 374 · Juzuu 19
رَبِّ
نَجِّنِي
وَأَهۡلِي
مِمَّا
يَعۡمَلُونَ
١٦٩
Mola wangu Mlezi! Niokoe mimi na ahali zangu na haya wayatendayo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha Lūṭ akamuomba Mola wake, alipokata tamaa kuwa watamsikiliza, alisema, «Mola wangu! Niokoe mimi na uwaokoe jamaa zangu na kile wanachokifanya watu wangu cha uasi huu mchafu na (utuokoe na) adhabu yako itakayowapata.»
Kisha Lūṭ akamuomba Mola wake, alipokata tamaa kuwa watamsikiliza, alisema, «Mola wangu! Niokoe mimi na uwaokoe jamaa zangu na kile wanachokifanya wat…