Ash-Shams 91:1 والشمس وضحاها ١
Ukurasa 595 · Juzuu 30
وَٱلشَّمۡسِ
وَضُحَىٰهَا
١
Naapa kwa jua na mwangaza wake! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu Anaapa kwa jua na mchana wake na mwangaza wake wa asubuhi.