Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: As-Saaffat 37:72

37:72
ولقد ارسلنا فيهم منذرين ٧٢
وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا فِيهِم مُّنذِرِينَ ٧٢
وَلَقَدۡﲹ
أَرۡسَلۡنَاﲺ
فِيهِمﲻ
مُّنذِرِينَﲼ
٧٢ﲽ
Na Sisi hakika tuliwapelekea waonyaji. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na kwa hakika, tuliwatumiliza kwa ummah hao Mitume waliowaonya adhabu, lakini wakakanusha.