As-Saaffat 37:44 على سرر متقابلين ٤٤
Ukurasa 447 · Juzuu 23
عَلَىٰ
سُرُرٖ
مُّتَقَٰبِلِينَ
٤٤
Wako juu ya viti wamekabiliana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na miongoni mwa takrima yao watakayoipata kwa Mola wao, na kukirimiana wao kwa wao, ni kuwa wao watakuwa kwenye vitanda wameelekeana.