As-Saaffat 37:157 فاتوا بكتابكم ان كنتم صادقين ١٥٧
Ukurasa 452 · Juzuu 23
فَأۡتُواْ
بِكِتَٰبِكُمۡ
إِن
كُنتُمۡ
صَٰدِقِينَ
١٥٧
Basi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Iwapo mna hoja ndani ya kitabu kitokacho kwa Mwenyezi Mungu, basi kileteni, mkiwa ni wa kweli katika hilo neno lenu.