As-Saaffat 37:139 وان يونس لمن المرسلين ١٣٩
Ukurasa 451 · Juzuu 23
وَإِنَّ
يُونُسَ
لَمِنَ
ٱلۡمُرۡسَلِينَ
١٣٩
Na hakika Yunus alikuwa miongoni mwa Mitume. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika mja wetu Yūnus, tulimchagua na tukamfanya ni miongoni mwa Mitume.