An-Naziat 79:21 فكذب وعصى ٢١
Ukurasa 584 · Juzuu 30
فَكَذَّبَ
وَعَصَىٰ
٢١
Lakini aliikadhibisha na akaasi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo Firauni alimkanusha Nabii wa Mwenyezi Mungu , naye ni Mtume Mūsā, amani imshukie, na alimuasi Mola wake Aliyetukuka.