An-Naziat 79:1 والنازعات غرقا ١
Ukurasa 583 · Juzuu 30
وَٱلنَّٰزِعَٰتِ
غَرۡقٗا
١
Naapa kwa wanao komoa kwa nguvu! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Anaapa Mwenyezi Mungu kwa Malaika ambao huzing’oa roho za makafiri mng’oo mkali.