Al-Qiyama 75:25 تظن ان يفعل بها فاقرة ٢٥
Ukurasa 578 · Juzuu 29
تَظُنُّ
أَن
يُفۡعَلَ
بِهَا
فَاقِرَةٞ
٢٥
Zitajua ya kuwa zitafikiwa na livunjalo uti wa mgongo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
zinatazamia kushukiwa na msiba mkubwa wenye kuvunja.