Al-Qamar 54:42 كذبوا باياتنا كلها فاخذناهم اخذ عزيز مقتدر ٤٢
Ukurasa 530 · Juzuu 27
كَذَّبُواْ
بِـَٔايَٰتِنَا
كُلِّهَا
فَأَخَذۡنَٰهُمۡ
أَخۡذَ
عَزِيزٖ
مُّقۡتَدِرٍ
٤٢
Walizikadhibisha Ishara zetu zote, nasi tukawashika kama anavyo shika Mwenye nguvu Mwenye uweza. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Walizikanusha dalili zetu zote zenye kutolea ushahidi upweke wetu na unabii wa Manabii wetu, tukawatesa kwa adhabu mateso ya Mshindi Asiyeshindwa, Mweza wa Analolitaka.
Walizikanusha dalili zetu zote zenye kutolea ushahidi upweke wetu na unabii wa Manabii wetu, tukawatesa kwa adhabu mateso ya Mshindi Asiyeshindwa, Mwe…