Al-Muddaththir 74:35 انها لاحدى الكبر ٣٥
Ukurasa 576 · Juzuu 29
إِنَّهَا
لَإِحۡدَى
ٱلۡكُبَرِ
٣٥
Hakika huo Moto ni katika mambo yaliyo makubwa kabisa!
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
hakika Moto ni mojawapo ya mambo makubwa,