Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Ma'arij 70:26

70:26
والذين يصدقون بيوم الدين ٢٦
وَٱلَّذِينَ يُصَدِّقُونَ بِيَوْمِ ٱلدِّينِ ٢٦
وَٱلَّذِينَﲌ
يُصَدِّقُونَﲍ
بِيَوۡمِﲎ
ٱلدِّينِﲏ
٢٦ﲐ
Na ambao wanaisadiki Siku ya Malipo, 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na wale ambao wanaiamini Siku ya kuhesabiwa na kulipwa wakajiandaa nayo kwa matendo mema.