Al-Layl 92:5 فاما من اعطى واتقى ٥
Ukurasa 595 · Juzuu 30
فَأَمَّا
مَنۡ
أَعۡطَىٰ
وَٱتَّقَىٰ
٥
Ama mwenye kutoa na akamchamngu! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ama mwenye kutoa kwenye mali yake, akamcha Mwenyezi Mungu katika huko kutoa,