Al-Infitar 82:3 واذا البحار فجرت ٣
Ukurasa 587 · Juzuu 30
وَإِذَا
ٱلۡبِحَارُ
فُجِّرَتۡ
٣
Na bahari zitakapo pasuliwa! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na pindi Mwenyezi Mungu Atakapozifanya bahari kulipuka na maji yake kutoweka.