Al-Ikhlas 112:1 قل هو الله احد ١
Ukurasa 604 · Juzuu 30
قُلۡ
هُوَ
ٱللَّهُ
أَحَدٌ
١
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sema, ewe Mtume, «Yeye Ndiye Mwenyezi Mungu Aliyepwekeka kwa ustahiki wa kuabudiwa, uumbaji na utakatifu wa Majina na Sifa, Asiye na mshirika katika hayo.
Sema, ewe Mtume, «Yeye Ndiye Mwenyezi Mungu Aliyepwekeka kwa ustahiki wa kuabudiwa, uumbaji na utakatifu wa Majina na Sifa, Asiye na mshirika katika h…