Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Haqqah 69:51

69:51
وانه لحق اليقين ٥١
وَإِنَّهُۥ لَحَقُّ ٱلْيَقِينِ ٥١
وَإِنَّهُۥﲕ
لَحَقُّﲖ
ٱلۡيَقِينِﲗ
٥١ﲘ
Na hakika hii bila ya shaka ni haki ya yakini. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na kwa hakika hii Qur’ani ni haki iliyothibiti na yakini isiyo na shaka.