Al-Furqan 25:45 الم تر الى ربك كيف مد الظل ولو شاء لجعله ساكنا ثم جعلنا الشمس عليه دليلا ٤٥
Ukurasa 364 · Juzuu 19
أَلَمۡ
تَرَ
إِلَىٰ
رَبِّكَ
كَيۡفَ
مَدَّ
ٱلظِّلَّ
وَلَوۡ
شَآءَ
لَجَعَلَهُۥ
سَاكِنٗا
ثُمَّ
جَعَلۡنَا
ٱلشَّمۡسَ
عَلَيۡهِ
دَلِيلٗا
٤٥
Je! Huoni jinsi Mola wako Mlezi anavyo kitandaza kivuli. Na angeli taka angeli kifanya kikatulia tu. Kisha tumelifanya jua kuwa ni kiongozi wake. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani huoni vipi Mwenyezi Mungu Alivyokinyosha kivuli kuanzia kutokea alfajiri mpaka kutokea jua? Na lau Mwenyezi Mungu Alitaka Angalikifanya kisimame na kitulie, kisiondolewe na jua kisha tungalilifanya jua kuwa ni alama ambayo kwa hali zake inachukuliwa dalili ya hali za kivuli.
Kwani huoni vipi Mwenyezi Mungu Alivyokinyosha kivuli kuanzia kutokea alfajiri mpaka kutokea jua? Na lau Mwenyezi Mungu Alitaka Angalikifanya kisimame…