Al-Falaq 113:3 ومن شر غاسق اذا وقب ٣
Ukurasa 604 · Juzuu 30
وَمِن
شَرِّ
غَاسِقٍ
إِذَا
وَقَبَ
٣
Na shari ya giza la usiku liingiapo, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na shari la usiku wenye giza lingi ungiapo na ujikitapo na mashari na maudhi mbalimbali yaliyomo ndani yake.