Al-Baqarah 2:160 الا الذين تابوا واصلحوا وبينوا فاولايك اتوب عليهم وانا التواب الرحيم ١٦٠
Ukurasa 24 · Juzuu 2
إِلَّا
ٱلَّذِينَ
تَابُواْ
وَأَصۡلَحُواْ
وَبَيَّنُواْ
فَأُوْلَٰٓئِكَ
أَتُوبُ
عَلَيۡهِمۡ
وَأَنَا
ٱلتَّوَّابُ
ٱلرَّحِيمُ
١٦٠
Ila wale walio tubu na wakatengeneza na wakabainisha, basi hao nitapokea toba yao, na Mimi ni Mwenye kupokea toba na Mwenye kurehemu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Isipokuwa wale waliorudi hali ya kutubia makosa yao, wakarekebisha waliyoyaharibu na wakayabainisha waliyoyaficha. Hao nitazikubali toba zao na nitawalipa kwa kuwasamehe. Na mimi ni Mwenye kukubali mno toba ya mwenye kutubia kati ya waja Wangu na ni Mwenye huruma kwao kwa kuwapa taufiki ya kutubia n…
Isipokuwa wale waliorudi hali ya kutubia makosa yao, wakarekebisha waliyoyaharibu na wakayabainisha waliyoyaficha. Hao nitazikubali toba zao na nitawa…