Ad-Dukhan 44:50 ان هاذا ما كنتم به تمترون ٥٠
Ukurasa 498 · Juzuu 25
إِنَّ
هَٰذَا
مَا
كُنتُم
بِهِۦ
تَمۡتَرُونَ
٥٠
Hakika haya ndiyo mliyo kuwa mkiyatilia shaka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika adhabu hii mnayoadhibiwa kwayo Leo, ndiyo ile adhabu mliokuwa mna shaka nayo duniani na mkawa hamuiamini.