Ad-Dukhan 44:46 كغلي الحميم ٤٦
Ukurasa 498 · Juzuu 25
كَغَلۡيِ
ٱلۡحَمِيمِ
٤٦
Kama kutokota kwa maji ya moto. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Yanachoma ndani ya matumbo ya washirikina kama vile maji yaliyofikia upeo wa joto.