Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Yasyn 36:79

36:79
قل يحييها الذي انشاها اول مرة وهو بكل خلق عليم ٧٩
قُلْ يُحْيِيهَا ٱلَّذِىٓ أَنشَأَهَآ أَوَّلَ مَرَّةٍۢ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ خَلْقٍ عَلِيمٌ ٧٩
قُلۡﲑ
يُحۡيِيهَاﲒ
ٱلَّذِيٓﲓ
أَنشَأَهَآﲔ
أَوَّلَﲕ
مَرَّةٖۖﲖﲗ
وَهُوَﲘ
بِكُلِّﲙ
خَلۡقٍﲚ
عَلِيمٌﲛ
٧٩ﲜ
Sema: Ataihuisha huyo huyo aliye iumba hapo mara ya mwanzo. Na Yeye ni Mjuzi wa kila kuumba. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mwambie, «Atakaye kuihuisha ni Yule Aliyeiumba mara ya kwanza, na Yeye kwa viumbe vyake vyote ni Mjuzi, hakifichamani Kwake yeye kitu chochote.