Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Hijr 15:2

15:2
ربما يود الذين كفروا لو كانوا مسلمين ٢
رُّبَمَا يَوَدُّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ لَوْ كَانُوا۟ مُسْلِمِينَ ٢
رُّبَمَاﱉ
يَوَدُّﱊ
ٱلَّذِينَﱋ
كَفَرُواْﱌ
لَوۡﱍ
كَانُواْﱎ
مُسۡلِمِينَﱏ
٢ﱐ
HUENDA ikawa walio kufuru wakatamani wange kuwa Waislamu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Makafiri watatamani, watakapowaona Waumini walioasi wakitoka Motoni, lau wao walikuwa ni wenye kumpwekesha Mwenyezi Mungu wakawa ni wenye kutoka kama wao.