Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Bayyinah 98:1

98:1
لم يكن الذين كفروا من اهل الكتاب والمشركين منفكين حتى تاتيهم البينة ١
لَمْ يَكُنِ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ مِنْ أَهْلِ ٱلْكِتَـٰبِ وَٱلْمُشْرِكِينَ مُنفَكِّينَ حَتَّىٰ تَأْتِيَهُمُ ٱلْبَيِّنَةُ ١
لَمۡﲈ
يَكُنِﲉ
ٱلَّذِينَﲊ
كَفَرُواْﲋ
مِنۡﲌ
أَهۡلِﲍ
ٱلۡكِتَٰبِﲎ
وَٱلۡمُشۡرِكِينَﲏ
مُنفَكِّينَﲐ
حَتَّىٰﲑ
تَأۡتِيَهُمُﲒ
ٱلۡبَيِّنَةُﲓ
١ﲔ
Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hawakuwa wenye kukufuru miongoni mwa Mayhudi na Wanaswara na washirikina ni wenye kuacha ukafiri wao mpaka uwajilie wao ushahidi walioahidiwa katika vitabu vilivyopita.