Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Anfal 8:59

8:59
ولا يحسبن الذين كفروا سبقوا انهم لا يعجزون ٥٩
وَلَا يَحْسَبَنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ سَبَقُوٓا۟ ۚ إِنَّهُمْ لَا يُعْجِزُونَ ٥٩
وَلَاﲛ
يَحۡسَبَنَّﲜ
ٱلَّذِينَﲝ
كَفَرُواْﲞ
سَبَقُوٓاْۚﲟﲠ
إِنَّهُمۡﲡ
لَاﲢ
يُعۡجِزُونَﲣ
٥٩ﲤ
Wala wasidhanie wale walio kufuru kwamba wao wametangulia mbele. La, wao hawatashinda. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na wasidhanie wale ambao walizikanusha aya za Mwenyezi Mungu kwamba wao washapita na washaokoka na kwamba Mwenyezi Mungu Hawawezi; hakika wao hawatakwepa adhabu ya Mwenyezi Mungu.